Advertisement

Responsive Advertisement

WAZIRI MKUU AKABIDHI KITI MWENDO

 Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, leo tarehe 7 Juni, 2026 amempatia msaada wa kiti mwendo kipya mlemavu wa miguu, Bi. Elizabeth Mnyeke mkazi wa Mkoa wa Iringa ambaye hivi karibuni aliomba kupatiwa msaada huo baada ya kumalizika kwa mkutano wa hadhara alioufanya eneo la Ismani, Julai 5, 2026, mkoani Iringa . PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU


Post a Comment

0 Comments