Advertisement

Responsive Advertisement

HABARI MBAYA KWA AMBAO HAWAJAOLEWA | HABARI NZURI KWA AMABO HAWAJAOA

Vijana changamkieni furs mbalimbali za ujio wa Miss World

Wazırı wa Habari Utamadunı Sanaa na michezo, Mhe. Paul Vakonda ametoa wito kwa vijana nchini, kutumia fursa ya ujio wa Mashindano ya Ulimbwende ya dunia ambayo yatafanyika nchini Tanzania 2027 kujiinua.


Mhe. Makonda ametoa wito huo, aliposhiriki katika mbio maalum kuelekea Maadhimisho ya miaka 63 ya kuanzishwa kwa Jumuiya ya Umoja wa Afrika (AU) tarehe 23 Mei 2026 jijini Dar es Salaam.



Post a Comment

0 Comments