Advertisement

Responsive Advertisement

MZIZE AAMUA KURUDI KWAO IRINGA

​“Mchezaji wa Yangasc Clement Mzize ameamua kurudisha shukurani kwa wakazi wa IRINGA kwa Kuandaa Tamasha la Mchezo wa Mpira wa miguu ikiwa Lengo ni kurudisha kwa Jamii amezungumza hayo na waandishi wa Habari Leo”


Post a Comment

0 Comments